×

VIDEO: Simba Sc Vs Fc Platinum, Kitakachowapa Ushindi Simba Leo ni Hiki

GLOBAL TV imefanya mahojiano na mchambuzi wa soka, kuelekea mtanange wa kukata na shoka kati ya SIMBA SC vs FC PLATINUM, utakaochezwa leo Januari 06, katika dimba la Mkapa jijini Dar es Salaam.

 

Mtanange huo ni wa marudiano ambapo baada ya dakika 90 kumalizika ndio zitaamua kwamba Simba atakwenda hatua ya makundi au vipi.

 

Leave a Comment