×

Mapokezi Ya Ziara Ya Waziri Wa Mambo Ya Nje Wa China, Chato -Video

Mapokezi ya Waziri wa Mambo ya nje wa China, WANG YI, katika Uwanja wa Chato atakuwa nchini kwa ziara ya siku mbili kuanzia leo tarehe 7 January 2021.

Leave a Comment