×

Kitambi Cha Mondi Chawaacha Hoi Wananzengo

Heheheh hivi karibuni video ya staa wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’ ilivuja mitandaoni huku ikimuonyesha kuwa na kitambi kikubwa tofauti na jinsi watu walivyomzoea.

 

Hali hiyo iliwafanya wananzengo kuanza kuulizana mitandaoni kuwa kulikoni wakati wamezoea kuona picha za msanii huyo akiwa na six pack?

Haya ndio yalikuwa baadhi ya maoni ya wajumbe huko mjini Instagram.Jay :Diamond ana kitambi au macho yangu?

 

Chunda: Itakuwa kashiba magimbiJojo: Ana minyoo labdaKijiko: Mamaa wamesahau kueditiBaraka: Embu mwacheni mtu ale bwana, mbona cha Msechu kimewashinda?

Leave a Comment