
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kupitia kwa Katibu Mtendaji wake, Dkt. Charles E. Msonde limetangaza matokeo ya mitihani ya kitaifa ya upimaji wa maarifa darasa la nne na kidato cha pili , Mtihani wa Maarifa (QT) na kidato cha nne kwa mwaka 2020.