×

Hotuba ya Mwisho ya Trump Kabla ya Kuondoka Ikulu – Video

Rais Donald Trump ametoa hotuba yake ya mwisho kama Rais wa Marekani akibainisha mafanikio yake kuwa ni pamoja na kutoanzisha vita, kurudisha wanajeshi nyumbani na kufanya maamuzi mengi magumu yenye maslahi kwa Taifa lake bila kujali wakosoaji. Katika hotuba hiyo yenye dakika 20.

 

Leave a Comment