Rais John Magufuli leo Januari 28, 2021 ameipandisha hadhi Halmashauri ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga kuwa Manispaa, baada ya kuridhishwa na maendeleo yake ikiwamo ukusanyaji mapato.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx