×

Nandy Apewa Vyombo Baada ya Vichambo – Video

MSANII wa Bongo Fleva, Fausta Charles ‘Nandy’ amepewa zawadi ya vyombo na mtangazaji Dina Marius baada ya kupokea vichambo kutoka mashabiki wake wa Instagram kufuatia kuposti picha alipomkaribisha chakula nguli wa muziki wa DRC, Koffi Olomide huku meza ikiwa na vyombo vilivyopitwa na wakati.

TAZAMA KILICHOTOKEA HAPA

Leave a Comment