
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Faustina Charles Mfinanga, maarufu kwa jina la Nandy usiku wa kuamkia leo Januari 30, 2021, amepiga shoo ya kibabe (live Perfomance) kwenye fainali ya BSS kwa msimu huu wa 11 kwa mwaka 2021 katika Ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi wa katika fainali hizo alikuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa.


PICHA: MUSA MATEJA