×

Shoo Ya Diamond, Aingia Kifalme Uwanjani, Aandika Historia -Video

TAMASHA la Wasafi Tumewasha na TiGo limefanyika usiku wa kuamkia leo Januari 31, 2021 katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar na wasanii zaidi ya 20 wamepafomu wakiongozwa na, Diamond Platinumz.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment