MSANII wa muziki kutoka Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ Februari 1, 2021 ameachia rasmi album yake ya kwanza, ‘Sound from Africa’ ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu na mashab iki zake.