
MAMBO si ndo haya sasa, daka bando chap chap, usipitwe! Wale wasomaji wa Magazeti ya Global Publishers kwa njia ya mtandaoni wameanza kujinyakulia zawadi za bando la wiki ambapo leo washindi 10 wamepatikana kupitia droo na kupatiwa bando ya Tsh 5,000 kila mmoja.
Washindi hao 10 ni wenye namba za simu zifuatazo;
0622255552
0766024096
0746748844
0717023871
0787207455
0677433702
0743994341
0626789248
0692396301
0656236881
Na wewe shinda Bando la Wiki kwa Ku-Download App ya Global. Rahisi kushiriki, ingia Google Play Store kwa watumiaji wa Android au App Store kwa watumiaji wa iOS, search na install Global App na kisha ifungue.
Screen Shot ukurasa wowote ndani ya Global App na kisha uitume kwenda namba 0689 294 202 na utakuwa umeingia kwenye mchujo wa kujipatia Bando la Wiki la mtandao wowote unaoutumia.
Mshiriki awe ni mkazi wa nchini Tanzaia. Washiriki 10 watajipatia BANDO LA WIKI kila wiki
Jumanne saa 10 kamili!
Pakua Global APP hapa
👇👇👇
Android http://bit.ly/38Lluc8
iOS https://apple.co/38HjiCx
View this post on Instagram