×

Tanzia: Aliyepiga Picha ya Muungano wa Tanganyika na Zaznibar Afariki

 

MWANDISHI wa habari mkongwe, William Mbunga, aliyepiga picha tukio maarufu la Baba Wa Taifa, Hayati Mwl. JK Nyerere akichanganya Udongo kuashiria nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar kuungana, amefariki Dunia Februari 3, 2021.

Mzee Mbunga ambaye ndiye mwanzilishi wa chuo cha School of Journalism and Mass Communication (SJMC) amefariki katika Hoospitali ya Mloganzila.

Leave a Comment