MSANII wa Bongo Fleva, kutoka Lebo wa WCB, Lava Lava leo Februari 12, 2021 meiachia rasmi EP yake “Promise” ambayo mara ya kwanza alitangaza kuwa ingetoka February 14, 2021.
“Promise” ni EP ya kwanza kutoka kwa Lava Lava tangu aanze safari yake ya muziki na ina jumla ya nyimbo nne tuu huku kolabo zikiwa ni mbili ambazo amewashirikisha Diamond Platnumz na Mbosso.