×

Wastara Amtolea Uvivu Rayvanny “Umenichafua”

IKIWA ni saa chache baada ya msanii Kajala Masanja kumvaa msanii mwenzake, Hamisa Mobetto akimshutumu kwa madai kuwa alimchukua mwanaye Paula Masanja na kwenda naye kwa Rayvanne kisha kufanya vitendo visinvyo vya kimaadili na kumrekodi video ambayo imesambaa mitandaoni, msanii Wastara Juma ameshindwa kujizuia na kuamua kumvaa Rayvanny.

 

“RAYVAN umenichefua sana ningekuwa ni mimi sijui ningekufanya nini kosa gani kakufanyia kajala mpka umlipe maumivu makubwa hivi.

 

“Jamani haya mambo yanatokea kwenye familia yoyote ile sio mageni isiwe sababu ya kumdharirisha huyo mtoto na mamaake hata wao wanaumia mvae viatu vyao vaeni viatu vya kajala hata kwa dakika 5 ujue anayopitia inauma ni kama yeye ndio kafanya huo ujinga maana maumivu yote kayabeba yeye.”

Leave a Comment