×

Video: Mwili wa Balozi Kijazi Wawasili Dar

Mwili wa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi umesafirishwa leo Februari 18, kutoka Dodoma kwenda Dar es Salaam ambapo umepelekwa katika Hospitali ya Lugalo kisha baadaye utapelekwa nyumbani kwake ambako utalala.

 

Rais Dkt. John Magufuli kesho anatarajiwa kuongoza shughuli za kuuaga mwili wa Balozi Kijazi ambapo ibada ya kuaga itafanyika kesho katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam na atasafirishwa kwenda Tanga ambapo siku ya Jumamosi atazikwa wilayani Korogwe.

Leave a Comment