×

Tanzia: Aliyewahi Kuwa Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki Afariki

Mbunge wa zamani wa Morogoro Kusini Mashariki, Semindu Pawa amefariki dunia Februari 17. Pawa amewahi kushika nafasi mbalimbali ndani ya CCM na hadi anakutwa na mauti alikuwa mjumbe wa Baraza la Wazee la CCM.

Leave a Comment