
Ndugu, jamaa na marafiki, wakiaga mwili wa aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu (71), katika ibada iliyofanyika jana Jumatano nyumbani kwake.Prof. Ndulu amezikwa leo Alhamisi Februari 25 katika makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam.

Ndugu, jamaa na marafiki wakitoa heshima za mwisho kwa mwili aliyewahi kuwa Gavana wa Benki Kuu Tanzania (2008-2018), Prof. Benno Ndulu.

