×

Lulu: Majizzo Umenisugulisha Benchi

IKIWA ni muda mfupi baada ya CEO wa EFM na TVE, Francis Antony Ciza a.k.a Majizzo kuposti kwa mara ya kwanza kuhusu ndoa yake yake na malkia wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’, hatimaye Lulu ameibuka kujibu kwa kuandika ujumbe huu:

 

“Wachaaa,Mumewangu huyo Na waraka 👏🥰 Asante kwa kunichagua…Asante kwa kunipenda,kunijali,kuniheshimu na kunikubali kwa jinsi nilivyo tangu siku ya kwanza…Na zaidi Ahsante kwa kunipa heshima ya kuwa mke wako❤️ Japo umenisugulisha benchi,Nakupenda hivyo hivyo mwaego 🤣 @majizzo.

Leave a Comment