×

Rombo: Wakenya 26 Wahukumiwa Jela kwa Kuingia Nchini Kinyemela

Mahakama ya Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro imewahukumu kifungo cha mwaka mmoja jela ama kulipa faini ya shilingi laki tano kila mmoja raia 26 kutoka nchini Kenya baaada ya kupatikana na hatia ya kuingia nchini kinyume cha sheria za uhamiaji.

</center>

Leave a Comment