MAKAMU wa Rais, Mama Samia Suluhu, Leo Machi 17, 2021 ametangaza kifo cha Rais wa Jamhuri ya Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, kilichotokea katika Hospitali ya Mzena Jijini Dar es salaam, alikolazwa baada ya kusumbuliwa na maradhi ya moyo.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx