
Aliyekuwa Hakimu mstaafu wa Mkoa wa Geita, Elisha Sabuka, amezikwa jana Machi 19, 2021, katika makuburi ya kijijini kwao Mwingilo, Mkoani Geita, na kuhudhuriwa na watu mbalimbali na baadhi ya viongozi wa Serekali.

Sabuka alifariki Machi 17, akiwa nyumbani kwake Bomani,Geita baada ya kuugua ugojwa wa moyo, atakumbukwa kwa uchapaji kazi yake alipokuwa mfanyakazi kwenye mahakama ya Mkoani humo.

Bwana ametoa na bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe.








