MWILI wa Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt John Pombe Magufuli, utaagwa leo Machi 20, 2021, katika jiji la Dar es salaam ambapo inatarajiwa mwili wake kuagwa kwa siku mbili katika jiji hili.