MWILI wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli umewasili katika Uwanja wa Uhuru tayari kwa ibada ya misa ya kuaga na kutoa heshima za mwisho leo Ijumaa, Machi 20, 2021.