×

Afande Sele Amwaga Machozi, Afunguka ‘Kumtukana Mungu’ – Video


BAADA ya Sauti ya Msanii Nguli Nchini, Afande Sele, ikisambaa kwa kasi ikiwa inasikika akimlaumu Mungu kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dkt John Magufuli, Global Tv Online tumezungumza naye ambapo amefunguka sababu zilizompelekea kuzungumza aliyoyasema.

Leave a Comment