×

Simanzi! Wabunge Wamuaga Rais Magufuli – Video

Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wametoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa Hayati Rais Dkt. John Magufuli Bungeni Dodoma leo asubuhi Machi 21, 2021.

 

Mwili wa Hayati Magufuli, unaagwa tena leo Machi 22, Kitaifa katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma ambapo viongozi kutoka mataifa mbalimbali wamewasili Dodoma kwa ajili ya kutoa heshima zao za mwisho kwa shujaa huyo wa Afrika.

 

 

Leave a Comment