WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, tayari amewasili visiwani Zanzibar kwa ajili ya kushiriki kwenye zoezi la kuuaga mwili wa Hayati Magufuli, ambalo litafanyika visiwani humo leo Machi 23, 2021.