×

Kajala, Mobetto, Harmo, Manara Watua Chato Kumzika Magufuli – Video

MWILI wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, unatarajiwa kupumzishwa kwenye nyumba yake ya milele, Leo Machi 26 huko Chato Mkoani Geita…

Mazishi yake yamehudhuriwa na wasanii wengi wakiwemo Hamisa Mobeto, Harmonize, Kajala, sambamba na Ofisa habari wa Simba, Haji Manara.

Leave a Comment