×

Wabishi Hawa Sasa ‘Uso kwa Uso’

 

Rais wa Marekani, Joe Biden na wapinzani wake Rais Vladimir Putin wa Urusi na Xi Jinping wa China watakutana kwenye mwaliko wa mazungumzo ya kwanza ya hali ya hewa juu ya kuunda, kuharakisha na kuimarisha juhudi za kupunguza uchafuzi wa hali ya hewa unaosababisha na mafuta.

Leave a Comment