×

Video: Mwili wa Mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu, Waagwa Dar Leo


MWILI wa aliyekuwa mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu, umeagwa leo Machi 31, 2021 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na ibada maalum ya kumuaga imefanyika hapo.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment