
Kiwanja chenye ukubwa wa Square Meter 3,872 na nyumba ya kuishi kinuzwa. Kipo Mtoni Kijichi, Mtaa wa Tukuyu, Nyumba namba 1, Wilaya ya Temeke, jijini Dar es Salaam, kipo jirani na Ufukwe wa Bahari ya Hindi. Kinafaa kwa matumizi yote. Kujenga Nyumba, Yard Ya Magari, Shule, Kanisa au msikiti, n.k.
Kipo kwenye ramaji ya jiji na kina hati halali. Kodi zote za ardhi na nyumba zimelipiwa.
BEI nafuu na ni maelewano.
Wasiliana nao simu na:
+255 688 640 101
+255 715 122 994
