×

Rais Samia Atoa Msimamo Kuhusu Katiba Mpya – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ni kama amejisahau mara nyingi kwa kusema linaoendelea ni Bunge la Katiba badala ya kusema ni Bunge la Bajeti.

 

 

Akajihoji mwenyewe, “Hivi nina maradhi gani na Katiba?” Akatoa majibu kwamba labda ni kwa sababu nimepigiwa kelele sana kuhusu msukumo wa Katiba Mpya…..” Akawapa majibu “….lakini wasahau kidogo…”

 

Leave a Comment