RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametengua uteuzi wa Thobias Mwesiga Richard kuwa Mkurugenzi mpya wa Shirika la Maendeleo ya Petroli, Dkt. James Mataragio aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo ataendelea na majukumu yake.