×

Mbosso Ft Diamond Platnumz – Baikoko (Official Music Video)

STAA wa muziki wa Bongo Fleva anayekiwasha chini ya Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mbwana Yusuf ‘Mbosso’ Aprili 9, 2021 ameachia video ya ‘Baikoko’ amemshirikika Mkurugenzi wa Lebo hiyo, Diamond Platnumz.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

 

Leave a Comment