×

TANZIA: Mama Mzazi wa IGP Sirro Afariki Dunia

 

Mama mzazi wa IGP Simon Sirro, Monica Nyabyamari amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa anapatiwa matibabu.

Msiba upo nyumbani kwa IGP Sirro, Masaki mkoani Dar es Salaam.

Leave a Comment