Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa taarifa kwa umma kuwa kuanzia jana Aprili 9,2021 imeanza kupokea maombi mapya ya Leseni za Maudhui mtandaoni kupitia tovuti ya TCRA.