×

TANZIA: Metacha Mnata Afiwa na Mtoto Wake

Golikipa wa Yanga, Metacha Mnata jana usiku Aprili 13, 2021 amefiwa na mtoto wake jana usiku. Pole sana  Metacha, Mwenyezi Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu.

Leave a Comment