×

Billnass Afunguka Kuachana Na Nandy, Wimbo Wa Tatizo -Video

MSANII wa Bongo Fleva, Billnass leo Aprili 14, 2021 amefanya mahojiano na kipindi cha Bongo 255 kinachoruka kupitia Global Radio Sinza Mori, Dar  amefunguka ishu ya kuachana na mpenzi wake msanii wa Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’.

Leave a Comment