×

Rais Samia Akutana na Makamu wa Rais na Gavana wa Benki Kuu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiagana na Makamu wa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania, Dkt Philip Isdori Mpango na Gavana wa Benki Kuu nchini Mhe.Prof .Florens Luoga mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dodoma leo Aprili 16, 2021.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Aprili 16, 2021 amekutana na Makamu wa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania, Dkt Philip Isdori Mpango na Gavana wa Benki Kuu nchini, Prof .Florens Luoga na kufanya mazungumzo Ikulu jijini Dodoma leo.

Rais Samia akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais Philip Isdor Mpango Pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga Ofisini kwake Jijini Dodoma leo tarehe 16 Aprili, 2021.

PICHA NA IKULU

Leave a Comment