
MASHINDANO ya Qur’aan ya 21 ya kuhifadhi kitabu kitukufu cha ALLAH (S.W) Al Qur’an Kariim yamefanyika leo Aprili 25, 2021 Uwanja wa Mkapa jijini Dar es salaam.
Mgeni rasmi katika mashindano hayo alikuwa ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi.


⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx