×

Simba SC Kuvaana na Kaizer Chiefs Robo Fainali

Simba SC itacheza na timu ya Kaizer Chiefs kutoka Afrika Kusini katika robo fainali ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika.

Mchezo wa kwanza utapigwa Johannesburg Mei 14-15, 2021 na mchezo wa pili utapigwa Dar es Salaam Mei 21-22, 2021.

Leave a Comment