×

Rais Samia Atakuwa Mgeni Rasmi Mei Mosi leo Jijini Mwanza

Rais Samia leo Mei 1, 2021 atakuwa Mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) ambayo itafanyika Kitaifa katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza

Leave a Comment