×

Rais Samia Awasili Dar Akitokea Dodoma (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo tarehe 07 Mei, 2021.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Mei 7, 2021 awasili Jijini Dar es Salaam akitokea Jijini Dodoma. Leo jioni atazungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam na kula nao futari katika ukumbi wa Mlimani City.

Leave a Comment