
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema mechi ya VPL kati ya Simba SC na Yanga SC iliyokuwa ianze saa 11 jioni sasa itaanza saa 1 usiku, TFF imesema imepokea maelekezo ya mabadiliko ya muda wa kuanza mchezo kutoka Wizara ya Michezo,Timu zimejulishwa.
