×

Mashabiki Waongea kwa Uchungu Baada ya Mechi Kuahirishwa-Video

BAADA ya mechi ya watani wa jadi kati ya Simba na Yanga, ambayo ilipangwa kuchezwa jana Mei 8, kuahirishwa  baada ya klabu ya Yanga kupinga kucheza muda wa saa 1:00, usiku wakisisitiza kuwa wanatambua  muda wa awali saa 11:00, na kupelekea mchezo huo kuahirishwa, mashabiki wameongea kwa uchungu kuhusiana na tukio hilo.

 

Leave a Comment