×

Mama Huyu Atakuliza, Maradhi Ya Mwanae Yamtoa Machozi – Video

Watende Athumani ni Mama mzazi wa mtoto mmoja ambaye Nusrat Yusuph (9) mwenye matatizo ya Moyo hali inayopelekea kuzimia mara tatu kwa siku / Alazimika kuacha shule kutokana na matatizo hayo / Anatakiwa kufanyiwa Operation lakini wameshindwa kumudu gharama za matibabu.

 

Leave a Comment