×

Haya Ndio mambo 19 Yaliyopendekezwa na Kamati ya Corona -Video


Kamati maalumu ya tathmini ya ugonjwa wa corona (Covid-19) nchini imekamilisha kazi yake na kukabidhi ripoti kwa Rais Samia Suluhu Hassan jana Mei 17, 2021 ikiwa na jumla ya mapendekezo 19.

 

Rais Samia alitangaza kuunda kamati hiyo Aprili 6 ikiwa ni wiki chache baada ya kuapishwa, huku msisitizo mkubwa ukiwa katika kupambana na ugonjwa huo kwa njia za kisayansi.

 

Akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 17 Ikulu jijini Dar es Salaam, mwenyekiti wa kamati hiyo, Profesa Said Aboud kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas) alibainisha mapendekezo 19 waliyoyatoa kwa Serikali.

 

Leave a Comment