
GLOBAL TV Online imefunga safari kuelekea mpakani Horohoro mkoani Tanga, kwa ajili ya kwenda kukutana na mzee Njovu Kabanga, ambaye Mungu amemjaalia umri mrefu ambapo mpaka sasa ana umri wa miaka 110.
Katika historia yake mzee Huyu amewahi kutembea kwa miguu kutoka Songea hadi Tanga akiwa katika harakati za kutafuta maisha.