×

Nafasi za Masomo Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam – Duce (2021/2022)


Mkuu wa Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) anatangaza nafasi za masomo ya umahiri na stashahada ya uzamili (postgraduate diploma) kwa mwaka wa masomo 2021/2022 katika kozi zifuatazo.
• Master of Arts in Public Administration (evening program)
• Master of Arts with Education katika mikondo ya Linguistics, Fasihi ya Kiswahili, Isimu ya Kiswahili, Literature, History na Geography.
• Master of Science with Education katika mikondo ya Biology, Chemistry na Mathematics
• Master of Education in Educational Leadership and Policy Studies
• Master of Science in Environmental Biology
• Master of Education in Curriculum Studies
• Master of Arts in Development Evaluation
• Postgraduate diploma in Education inayofundishwa jioni na kwa njia ya mtandao (yaani online) kwa lengo la kuwawezesha waombaji wenye degree ya kwanza ambao hawakuwahi kusoma ualimu kuwa na sifa za kuajiriwa kama walimu.

Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya chuo www.duce.ac.tz.
Kwa mawasiliano piga simu namba 0787 423 178 au 0718 595 845.
WOTE MNAKARIBISHWA

 

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers)

Leave a Comment