×

Umewasikia H. Mama na Mama Levo?

Msanii H.Baba anamuita mwenzake Mama Levo akimaanisha msanii mwenzake Baba Levo.

 

Eheee! Nadhani umeshasikia hiyo kitu na Baba Levo akitaka kumpa dongo H. Baba anamuita H.Mama; sasa tunajiuliza kwani hawa ni wanawake?

 

Kwa nini kila mmoja anamuona mwenzake kama “mama” huu ni utani mbaya na mwendelezo wa ovyo wa kuwaona wanawake kama viumbe dhaifu ambao umekuwepo zama na zama.

 

Mi naona kama wasanii hao walikuwa wanataka kudhalilishana wangeitana H.Kondoo na Baba Mbuzi, kuliko kuwatumia mama zetu!

 

Instagram: @manyota_rich

Leave a Comment