
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Mei 30, 2021 amempandisha cheo Kamishna Msaidizi wa Polisi (SACP) Camilius Wambura kuwa Kamishina wa Polisi CP, pamoja na kumpandisha cheo Rais Samia amemteua CP Wambura kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI).
Kabla ya uteuzi huo CP Wambura alikuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, unaweza kusoma teuzi zote
